MAAMUZI YA FA JUU YA RUFAA YA CHELSEA HAYA HAPA Rufaa ya Chelsea kupinga kadi nyekundu aliyooneshwa kipa Thibault Courtois katika mchezo dhidi ya Swansea, siku ya Jumamosi, imetupiliwa mbali na Chama cha Soka cha England, FA. Courtois sasa atakosa mechi ya Jumapili dhidi ya Manchester City
0 comments:
Post a Comment