HIKI NDICHO KIKOSI BORA CHA WAKATI WOTE CHA SIR ALEX FERGUSON Kustaafu kwa Sir Alex Ferguson kumewapa EUROSPORT sababu ya kuangalia timu bora zaidi katika miaka 26 ya kuifundisha Manchester United. Sir Alex ndiye kocha mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika klabu ya Manchester United na soka la England kwa ujumla. Hiki ndicho kikosi ambacho mtandao huo umeona ni bora zaidi katika maisha ya Ferguson ndani ya uwanja wa Old Trafford.
0 comments:
Post a Comment