Baada ya kuzitazama mechi zote za ufunguzi wa ligi kuu England zilizopigwa Jumamosi na jana jumapili, wachambuzi wa mtandao wa ESPN FC wamekuja na kikosi chao bora cha wiki pamoja na kocha. Wameangalia zaidi kiwango cha kila mchezaji.
Unakubali au unakataa? toa maon yako....

0 comments:
Post a Comment