Jumamosi ya wiki iliyopita, Chelsea ilitoka sare ya 2-2 dhidi ya Swansea City katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu England.
Wakiwa ndio mabingwa watetezi, Chelsea hawajasajili mpaka sasa zaidi ya Radamel Falcao.
Timu nyingine zimetumia pesa kuboresha vikosi vyao, lakini Jose Mourinho amebaki na kikosi kile kile.
Msimu uliopita, Swansea walikufa mara mbili dhidi ya Chelsea, lakini msimu huu wameonekana kuwa na nguvu.
Hii ni dalili ya msimu mgumu kwa Mourinho.
Hivi unajua kwamba kikosi cha Chelsea kilichocheza na Swansea msimu uliopita ndio kilekile cha msimu huu? kasoro mchezaji mmoja tu.
0 comments:
Post a Comment