Wednesday, August 12, 2015

Manchester United ndio timu inayoongoza kwa kuchukiwa katika ligi kuu nchini Uingereza.
Kutokana na utafiti uliofanywa na gazeti la Mirror baada kuuliza kila mshabiki, kwamba ni timu gani anaichukua zaidi, United ikaonekana kuwa ndio klabu inayochukiwa zaidi kati ya zote.
Chelsea wanashika nafasi ya pili huku Liverpool, Manchester City na Tottenham wakimalizia tano bora.
Orodha yenyewe hii hapa

Klabu | wastani wa asilimia 
Man Utd | 68 
Chelsea | 65 
Liverpool | 60 
Man City | 53 
Tottenham | 46 
Arsenal | 41 
Stoke | 41 
Newcastle | 39 
West Ham | 37 
Aston Villa | 32 
Sunderland | 30 
Crystal Palace | 24 
Leicester | 21 
Everton | 21 
West Brom | 21 
Norwich | 18 
Watford | 15 
Swansea | 13 
Southampton | 11 
Bournemouth | 9

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video