Saturday, August 15, 2015

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo wanacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya URA ya Uganda katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mechi hiyo itakayoanza majira ya saa 10:00 jioni inaoneshwa moja kwa moja na Azam TV kupitia Azam TWO na chaneli mpya ya Azam Sports HD iliyozinduliwa jana.
Uchambuzi wa awali 'Match build-up' utaanza saa 9:00 alasiri.


0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video