Saturday, July 4, 2015

MFUNGAJI Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2013/14, Amissi Tambwe, ameonyesha dhamira yake ya kutwaa tuzo hiyo msimu ujao baada ya jana kufunga mabao matano katika mazoezi ya Yanga yaliyofanyika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
Katika mazoezi hayo ambayo yalikuwa maalumu kwa ajili ya kunoa safu ya ushambuliaji, Tambwe alionekana kuwa na usongo wa hali ya juu katika ufungaji wa mabao na kujikuta aking’ara zaidi.
Cheche za Tambwe katika kufunga mabao inathibitisha kauli yake aliyoitoa mwishoni mwa msimu uliopita kuwa atajituma zaidi ili aweze kufunga mabao mengi na kuibuka mfungaji bora na kumpiku Simon Msuva aliyetwaa tuzo hiyo msimu uliopita kwa kufunga mabao 17, mawili pungufu ya Mrundi huyo 2013/14.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video