Tuesday, July 21, 2015

Kiungo fundi wa Juventus na Chile, Arturo Vidal amevisaidia vibibi vya Turin  kufikia fainali ya UEFA mwaka huu  na kushinda ubingwa wa ligi kuu ya Italia,  Serie A. 
Hakuishia hapo,  pia ameisaidia nchi yake ya Chile kushinda kombe la Copa America mbele ya Angentina.
Hivi sasa taarifa mpya ni kwamba Bayern Munich wamekubaliana kuilipa Juventus ada ya  Euro milioni 37 (paundi milioni 52.9) ili kumchukua mchezaji huyo. 
Mkataba wake unakuwa wa miaka 4 na mshahara wa paundi 90,000 kwa Juma.
Vidal alikuwa anahusishwa sana na kuhamia klabu ya Arsenal wakati mchezaji huyu yupo kwenye Copa America.
Pia aliwahi kuhusishwa kujiunga na Manchester United.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video