Wayne Rooney ambae alitokea klabu ya Everton na kuhamia Manchester united kwa mara nyingine tena anatarajiwa kuvaa jezi ya Everton baada ya muda mrefu.
Ikumbukwe kwamba baada ya kufanya vizuri kwenye uwanja wa Goodison Park Sir Alex alimsajili na kujiunga na mashetani wekundu.
Sasa kwenye kusherekea farewell ya mchezaji Gwiji, Duncan Ferguson ambae aliwahi kucheza na Rooney ndani ya Liverpool, Rooney atavaa jezi ya Everton kwa ajili ya kucheza mechi ya mwanasoka huyo nguli.
Kwenye mechi hiyo ambayo itachezwa mwezi ujao dhidi ya Villareal, Rooney anasema
0 comments:
Post a Comment