Saturday, July 4, 2015

Arda Turan na Paul Pogba ni moja ya majina makubwa yanayotajwa kuhusishwa na kujiunga na Wakatalunya wa FC Barcelona, kama ambavyo Andres Iniesta amesema.
Barca waliandaa ofa ya Euro milioni 80 kwa ajili ya Pogba ambayo hata hivyo ilikataliwa na Juventus wiki iliyopita.
Wakati huo huo Arda Turan pia, anahusishwa kuondoka katika klabu yake ya Atletico Madrid majira haya ya joto na tayari mgombea kiti cha urasi wa Barca Josep Maria Bartomeu maethibitisha kwamba kocha wa Barca Luis Enrique amesea ana uhitaji wa mchezaji huyo mwenye uraia wa Uturuki.
Iniesta kwa upande wake amesema kuwa wachezaji wote hao wanakaribishwa kujiunga na na klabu yake ili kuongeza chachu ya kutetea mataji yao waliyovuna msimu huu uliokwisha.
"Pogba ni mchezaji ambaye kila timu ingependa kuwa naye. Ni kijana mdogo lakini mwenye kipaji kikubwa cha kuchezea timu bora.Kama anataka kuungana nasi basi tunamkaribisha," aliwaambia wanahabari.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video