Steven Gerrard amewasili rasmi nchini Marekani kujiunga na klabu ya LA Galaxy ya nchini humo jana.
Baada ya kutambulishwa rasmi, nahodha huyo wa zamani wa 'The reds' amekabidhiwa jezi namba nane ambayo ndio aliyokuwa anaivaa wakati akiwa Liverpool.
Utambulisho huo uliambatana na maneno haya:
'Welcome to Los Angeles, Steven Gerrard! #GR8NESS'.
'Karibu Los Angeles, Steven Gerrard!#GR8NESS'.

0 comments:
Post a Comment