PICHA 6 ZA ARTURO VIDAL AKIWA MAZOEZINI KWA MARA YA KWANZA BAYERN MUNICH Mchezaji wa Chile kwa mara ya kwanza ameshiriki mazoezi na club yake mpya Bayern Munich ambayo inashiriki ligi ya Bundesliga. Vidal amejiunga na club hii akitokea Juventus na gharama iliyotumika kumfikisha Bayern ni kiasi cha £28million.
0 comments:
Post a Comment