Hakuna binadamu mwenye moyo wa chuma! linapotokea jambo ambalo mtu hapendi, basi kuna asilimia 100 za kuchukia, ingawa wengine hasira zao huisha haraka na wengine huendelea kuchukia daima.
Lakini unapokuwa 'Public figure' mengi yanakuzunguka na kila unasema jambo, basi watu hulijadili kwa mitazamo tofauti.
Katibu mkuu wa zamani wa Simba, Ezekiel Kamwaga ambaye kwasasa ni Mhariri wa gazeti la Raia Mwema ni moja ya watu maarufu wanaopenda kutumia mtandao wa kijamii wa facebook.
Kamwaga ana-post vitu mbalimbali kuhusu michezo, jamii na siasa, lakini anadai kila anapoweka post chanya kwa serikali baadhi ya watu huamini kwamba anausaka ukuu wa wilaya.
Kutokana na hilo amelazimika kutoa majibu haya.....
0 comments:
Post a Comment