Waandishi wa habari walioomba vitambulisho vya kufanyia kazi (Accreditation) leo wanaombwa kufika ofisi za TFF zilizopo Karume kuchukua vitambulisho vyao.
Waandishi mnaombwa kuchukua vitambulisho hivyo kuanzia saa 5 kamili asubuhi mpaka saa 6 kamili mchana, kwani vitambulisho vya muda vilivyotolewa havitatumika tena.
Kuanzia michezo ya leo kila mwandishi atapaswa kutumia kitambulisho kilichotolewa maalum kwa ajili ya michuano hiyo kuingilia uwanjani.
0 comments:
Post a Comment