Sunday, July 19, 2015

Liverpool Echo wameripoti stori moja ya kuvutia wikiendi hii wakionesha jinsi familia ya Rafa Benetiz ilivyo karibu na watu wa Liverpoool.
Kocha huyo wa Real Madrid aliifundisha Liverpool kutoka mwaka 2004-2010 na kuwapa ubingwa wa Champions League na kombe moja la FA.
Benitez anabaki kuwa Gwiji wa Anfield na sasa mke wake, Montse Benitez amejikuta akipokea salamu za pongezi na kheri nyingi baada ya kutoa msaada kwa watoto wa Liverpoool.
Monts Benitez amejitolea paundi 11, 500 kuwasafirisha watoto hao kutoka Liverpool kwenda kutembelea eneo la kitalii la Disneyland lililopo Anaheim, California, Marekani.

Hili ni eneo maarufu ambalo limejengwa kwa ustadi mkubwa na watu wengi maarufu duniani hupenda kupumzika hapo.
Muwakilishi wa kundi hilo la kijamii la watoto wa Liverpool ameiambia Liverpool Echo:

Amewalipia watoto kwenda kuwatembelea makocha wawili.  Amewalipia bima ya afya, na kila mmoja amepewa paundi 20 kwa ajili ya matumizi binafsi na kununua vitu mbalimbali
Watoto wamefurahi na kuduwaa sana. Amewasaidia sana watoto na wanamuitwa 'Malaika wa fadhila".


Liverpool na Real Madrid zote zimecheza mechi za kirafiki wikiendi hii.
Majogoo waliichapa 2-1 Brisbane siku ya Ijumaa, magoli yakitiwa kambani na  Adam Lallana na James Milner.
Wakati Real Madrd wao jana wamepoteza mechi kwa penalti 7-6 dhidi ya AS Romo kufuatia kutoka sare ya 1-1 katika kipute cha International Champions Cup.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video