Wednesday, July 29, 2015

Aliyekua kiungo wa klabu ya Arsenal, Vassiriki Abou Diaby amekataa kufikia makubaliano na uongozi wa West Brom ambao ulionekana kuwa tayari kumsainisha mkataba ili aendelee kusalia nchini England.
Diaby amekataa kufikia hatua ya kubaki nchini England, baada ya kudhihirisha amejiunga na klabu ya nchini kwao Ufaransa Olympique de Marseille.
Diaby, ambaye ameitumikia timu ya taifa ya Ufaransa katika mchezo 16, alikua huru baada ya kuachana na Arsenal mwanzoni mwa mwezi uliopita, hali ambayo ilisababisha baadhi ya klabu kuwa na mipango ya kumsajili.
Jana jioni uongozi wa Olympique de Marseille ulithibitisha kufikia makubaliano na kiungo huyo mwenye umri wa miaka 29.
Diaby aliitumikia Arsenal kwa miaka tisa na alicheza michezo zaidi ya 180 na kufunga mabao 19, na msimu uliopita alifanikiwa kucheza michezo miwili.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video