Thursday, June 11, 2015

Afisa habari wa klabu ya Simba Hajji Manara
Klabu ya Simba muda mfupi ujao itatoa taarifa kamili baada ya kamati ya utendaji ya ‘Wekundu wa Msimbazi’ kukaa kikao jana usiku kujadili sakata la kimkataba kati ya klabu hiyo na mchezaji wao Ramadhani Singano ‘Messi’.
Afisa habari wa klabu ya Simba Hajji Manara amesema, baada ya kufanyika kikao cha kamati ya utendaji ya Simba leo mapema atatoa taarifa rasmi juu ya yale yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho ikiwa ni pamoja na suala la utata uliopo baina ya Simba na Ramadhani Singano ‘Messi’
“Muda mchache ujao nitatuma taarifa rasmi kwa vyombo vya habari kwa kile ambacho kimeamuliwa na kamati ya utendaji ya klabu ya Simba, agenda haikuwa hiyo ‘issue’ ya Ramadhani Yahaya (Messi)  peke yake, kuna ‘issue’ nyingine kwa hiyo yako mambo mengi tu tutakayoyatolea taarifa”, amesema Manara.
Manara amesema, mbali na suala la Messi kuna mambo mengine ambayo yamejadiliwa na kamati hiyo mojawapo likiwa ni suala kushiriki au kutoshiriki michuano ya Kagame Cup na suala la kocha atakaetithi mikoba ya Kopunovic.
Endelea kufuatilia mtandao huu uli kupata yote yatakayojiri.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video