Kijana Mtanzania Emily Mugeta amesaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Neckarsulm ya daraja la VERBANSLIGA ya nchini Ujerumani..
Hili si jambo dogo, kila la kheri kijana.
Beki huyo kinda wa Simba SC amesaini mkataba huo baada ya kufuzu majaribio yaliyofanyika majuma mawili yaliyopita.
Beki huyo kinda wa Simba SC amesaini mkataba huo baada ya kufuzu majaribio yaliyofanyika majuma mawili yaliyopita.
0 comments:
Post a Comment