Mwishoni mwa Juma lililopita, timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 ya Serbia imefanikiwa kutwaa kombe la dunia baada ya kuichapa Brazil 2-1 katika mechi ya fainali. Mali wameshika nafasi ya tatu baada ya kuichakaza 3-1 Senegal katika mechi ya kutafuta mshindi wa tatu. Cheki Serbia walivyopokelewa kishujaa nchini mwao....
0 comments:
Post a Comment