Friday, June 12, 2015

Klabu ya Arsenal imelimwa faini na chama cha soka cha Uingereza, FA  kutokana na tatizo lilitokea Julai 26, 2014. Kwenye taarifa iliyotolewa na FA inasema kwamba “Arsenal wamekutwa na makosa ya kuvunja sheria za FA kwenye mambo ya uwakala.”
“Makosa hayo yanatokana na uhamisho unaomhusu Calum Chambers akiwa anatokea Southampton kwenda Arsenal Julai 26 mwaka 2014″
Uhamisho huo uliotumia paundi milioni 16 umeripotiwa kwamba  ulivunja  sheria za uhamisho hususani  upande wa uwakala. 
Katika maamuzi hayo wakala Alan Middleton na klabu ya Arsenal wote wamelimwa faini isiyotajwa.
Calum Chambers amecheza mara 36 kwenye mashindano yote ya Arsenal tangu asajiliwe, lakini tatizo hilo la faini halijamuathiri mchezaji na kazi yake.
NEW2

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video