Thursday, May 14, 2015


Na Bertha Lumala, Dar es Salaam
'Sure Boy licha ya kuwa na utovu wa nidhamu msimu huu wa VPL akionyeshwa kadi mbili nyekundu, bado anahitajika kuimarisha safu ya kiungo ya Azam FC.'

BAADA ya kuwabakisha Said Mourad na Erasto Nyoni, Azam FC imefanikiwa kumbakisha pia kiungo wake Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kwa kumpa mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea timu hiyo ya Chamazi jijini hapa.

Mkataba wa Sure Boy unamalizika mwishoni mwa msimu huu na kiungo huyo wa Taifa Stars pia alikuwa anawaniwa na mabingwa Yanga.
“Tumeamua kumbakisha mchezaji wetu kutokana na mchango wake kwetu na kocha ametuambia bado anamuhitaji kwenye kikosi chake cha msimu ujao,”amesema Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba.

Kawemba  amesema wamesitisha mkataba na beki wao David Mwantika waliye msajili kutoka Prisons ya Mbeya misimu miwili iliyopita na tayari wamemlipa stahiki zake zote ili aweze kutafuta timu ya kuichezea msimu ujao.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video