LIGI kuu Tanzania bara inaendelea leo jumapili kwa mechi tatu kupigwa viwanja vitatu tofauti nchini.
Katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaa, Simba SC watawakaribisha Azam FC, mchezo ambao unatabiriwa kuwa na upinzani mkali kusaka nafasi ya pili ili mwakani kuweza kuwakilisha Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Jijini Tanga wagosi wa kaya Coastal Union watawakaribisha timu ya Stand United kutoka mjini Shinyanga, mchezo utakaochezwa kwenye uwanja wa Mkwakwani, huku kwenye Uwanja wa Manungu mjini Morogoro wenyeji Mtibwa Sugar wakiwakaribisha maafande wa Ruvu Shooting.
MATOKEO YA JANA JUMAMOSI
Ndanda fc
|
2-0
|
Kager Sugar fc
|
Mgambo JKT
|
0-1
|
JKT Ruvu
|
Tanzania Prisons
|
1-0
|
Mbeya City
|
RATIBA YA LEO JUMAPILI VPL
Simba SC
|
?-?
|
Azam fc
|
Coastal Union
|
?-?
|
Stand United
|
Mtibwa Sugar FC
|
?-?
|
Ruvu Shooting
|
0 comments:
Post a Comment