Sunday, May 3, 2015

YANGA SC wanaendelea kuongoza msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya kucheza mechi 24  na tayari ni mabingwa kwa pointi zao 55 wakishinda mechi 17, sare 4 na kufungwa 3.
Wanajangwani pia wanaongoza kwa kufunga magoli mengi (51).
Azam fc wanashika nafasi ya pili kwa pointi zao 45 baada ya kucheza mechi 23 na hata kama watashinda mechi zote tatu zilizobaki kuanzia leo hawawezi kupindua chochote, wataishia pointi 54 ambazo zilishavukwa na Yanga.

BAADA YA MECHI ZA JANA ZA VPL MSIMAMO WA VPL UNASOMEKA HIVI:

Standings

RnkTeamMPWDLGFGA+/-Pts
1Young Africans24174351153655
2Azam23129233151845
3Simba SC24118534171741
4Mbeya City2571082122-131
5Kagera Sugar2587102226-431
6JKT Ruvu2587101923-431
7Ruvu Shooting247891626-1029
8Mtibwa Sugar2461082224-228
9Tanzania Prisons2551371822-428
10Coastal Union2461081623-728
11Ndanda2577112029-928
12Stand United2477102131-1028
13Mgambo JKT2584131828-1028
14Polisi Morogoro25510101626-1025
Relegation

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video