Sunday, May 3, 2015

Mayweather akimtwanda konde Manny Pacquiao (kulia) katika pambano lilofanyika bustani ya MGM Las vegas, Marekani.

HATIMAYE mzizi wa fitina umekatwa baina ya Floyd Mayweather dhidi ya Manny Pacquiao asubuhi hii na bingwa asiyepigika Mayweather ameibuka kidedea kwa pointi.
Pacquiao (kulia) alikuwa kinara wa kurusha makonde, lakini Mayweather alicheza kijanja na kurusha makonde ya uhakika na kuwashawishi majaji.
Mayweather ameshinda kwa pointi 118-110, 116-112, 116-112
Pacquiao has his hands up as Mayweather tries with a left
Ni pambano ambalo mashabiki masumbwi walifikiri hawaji kuliona na limekuwa likishindikana kwa miaka mitano iliyopita, lakini limechezwa mwaka huu 2015.
Sasa Mayweather ameendeleza rekodi ya kutopigwa katika mapambano 48 na leo hii amecheza kwa kiwango kizuri dhidi ya Mbunge Pacquiao.
Pambano hilo kubwa la Karne limepigwa La Vegas Marekana na lilikuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 300.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video