Saturday, May 2, 2015


GOLI pekee la Jonas Olsson dakika ya 63' limetosha kuwapa ushinda West Bromwich Albion dhidi ya Manchester United katika mchezo wa ligi kuu England uliomalizia usiku huu uwanja wa Old Trafford.
Baada ya goli hilo, Man United walifika langoni mwa wapinzania wao na kupata penalti ambayo Robin van Persie amekosa katika dakika ya 74.
Kama ilivyo kawaida kwa  mechi tatu zilizopita, United wameendeleza kumiliki mpira na leo wamemiliki kwa asilimia 80 kwa 20 za West Brom, lakini wamekufa.
Hii ni mechi ya tatu mfululizo kwa Louis van Gaal kufungwa, hata David Moyes hakuwahi kupata matokeo ya hivyo na ni mara ya kwanza kwa Man United kupoteza mechi tatu mfululizo kwa miaka 13 iliyopita.

Katika mechi mbili zilizopita walifungwa 1-0 na Chelsea, wakalala 3-0 na Everton na leo wamegongwa kamoja tu.
West Brom bao lao liemfungwa kwa bahati, lakini wameweza kuwamudu Man United na kuvuna pointi tatu na sasa wamefikisha pointi 40 ambazo zinaweza kuwanusuru kushuka daraja.
Kwa matokeo hayo United wanakuwa mbele kwa pointi nne tu dhidi ya Liverpool wanaoshika nafasi ya tano.
TAKWIMU ZA MECHI ZINAONESHA HIVI
statistics :
8
shots on target
4
7
shots off target
3
80
possession (%)
20
9
corners
3
3
offsides
0
10
fouls
11
1
yellow cards
0
5
goal kicks

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video