Monday, April 13, 2015

KIFUATIA kipigo cha 4-2 walichoambulia Manchester City kutoka kwa Manchester United katika mechi ya ligi kuu iliyopigwa uwanja wa Old Trafford, Gary Neville amshambulia kiungo wa kimataifa wa Ivory Costa kuwa hakutimiza majukumu yake ya ulinzi na kuangalia zaidi kushambulia.
City walicheza vizuri dakika 15 za kwanza baada ya hapo 
walicheza chini ya kiwango na Nevile amesema lazima klabu hiyo ifanye mabadiliko.
Niall Quinn and Graeme Souness joined the chorus of criticism of the under-fire Ivorian
"Kwasasa City wapo njia panda," Neville alisema baada ya City kuachwa pointi nne na wapinzani wao wa Jiji, Man United ambao wapo nafasi ya tatu, pointi moja nyuma ya Arsenal wanaoshika nafasi ya pili.
"Lazima mabadiliko yatatokea Manchester City, wanaweza kuwa wachezaji, kocha, viongozi wa juu. Lakini zaidi baadhi ya wachezaji".
"Kuna baadhi ya magugu katika bustani na lazima uyang'oe katika chumba cha kubadilishia nguo". Neville alimtaja Toure kuwa ni "magugu' Etihad.
"Anafanya kazi kubwa ya kushambulia na kusababisha madhara makubwa safu ya ulinzi".

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video