UKURASA Maarufu katika mtandao wa kijamii wa facebook wa 'Naipenda YANGA' umeandika hivi "Zamani tulikuwa watu wa kulalamika tu pasipo kukabili changamoto za hujuma ugenini, inapendeza kuona sasa timu yetu inaendeshwa kisasa!tuhujumu kwa kutupa gari lililopuliziwa dawa sisi tutawapakiza wachezaji wetu kwenye gari lingine kisha hilo lenye hujuma watapanda mashabiki,tuandalie hotel uliyoandaa kutufanyia kila aina ya hujuma pasipo kujua kuwa wiki 1 iliyopita tayari maofisa wetu walishafika nchini kwako na kuandaa hotel nyingine, andaa chakula kibovu huku ukiwaandaa wapishi wa kutuhujumu sisi tunakuja na vyakula vyetu na mashabiki ndio wapishi wetu.
Tofauti na zamani tulikuwa tunafungwa mapema tu nje ya uwanja, sasa tunawadhibiti ila bado fitna za kuwafanyia hapa nyumbani hatujaanza!sioni ajabu Etoile du sahel tutaenda kuwapokea na tutawakarimu kwa moyo mkunjufu huku tukiwapa pole ya safari ila tukienda kwao wakatufanyia roho mbaya."
PONGEZI KWA WOTE MNAOJITOLEA KWA HALI NA MALI ILI TIMU YETU ISHINDE.


0 comments:
Post a Comment