Wednesday, April 15, 2015


Kutokana na utafiti wa kitaalamu uliofanywa na taasisi ya CIES Real Madrid ndio timu yenye uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe la UEFA msimu huu. Utafiti huo umefanywa kwa kuzingatia uzoefu wa wachezaji binafsi, kikosi, mambo ya uhamisho wa wachezaji na kufananisha na timu tano zilizowai kushinda UEFA miaka mitano iliyopita.

Upande wa uzoefu kwa miaka 5 iliyopita timu zilizoshinda kombe la UEFA zilikua na wachezaji wenye uzoefu wa mechi 865 kwenye mashindano. Msimu kati ya timu nane zilizopo kwenye robo fainali tatu tu ndio wanakaribia kuwa sifa hii, Bayern Munich wastani wa mechi 932, Madrid wastani wa mechi 911, Barcelona wastani wa mechi 864 na PSG wastani wa mechi 569.

Hii ni chati ya summary ya utafiti huo
CS1

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video