Wednesday, April 22, 2015

Wataalamu wanasema sio tu safu ya ulinzi ya Porto ndiyo ilionekana kupasuka vilivyo katika uwanja wa Allianz Arena hapo jana usiku, bali pia suruali ya Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola ilionekana kupasuka/kufumuka upande wa pembeni, pengine sababu ikiwa ni kuzidiwa na munkari mara baada ya kushuhudia timu yake ikiibuka na ushindi mnono wa magoli 6-1.
Hali hiyo ilisababisha hadi nguo ya ndani aliyokuwa amevaa Guardiola kuoneka dhahiri shahiri huku. Na baada ya kuulizwa kuhusu suala hilo baada ya mchezo Guardiola: 'Napaswa kununua nguo nyingine sasa kwa ajili ya mchezo ujao.'

Suruali ya Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola ikionekana kupasuka upande wa mguu wake wa kushoto huku nguo yake ya ndani ikionekana wakati akishuhudia timu yake ikitoa kipigi kitakatifu cha mabao 6-1 dhidi ya FC Porto ya Ureno katika dimba lao la kujidai la Allianz Arena.





0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video