SIMBA SC inakabiliana na Mgambo JKT leo jioni katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara inayopigwa uwanja wa Taifa Dar es salaam.
Kikosi hiki hapa chini kilifungwa magoli 2-0 dhidi ya Mbeya City mwishoni mwa wiki iliyopita uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Peter manyika, Masoud
Nassor ‘Cholo’, Mohamed Husein, Juuko Mursheed/Joseph Owino dk 23, Abdi Banda,
Jonas Mkude, Elius Maguli/Issa Abdallah dk 56, Ibrahim Hajib, Said Ndemla,
Ramadhani Singano.
Lakini leo yanatarajiwa mabadiliko ya golikipa ambapo Ivo Mapunda anarudi golini baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa mechi tatu kutokana na kadi nyekundu aliyooneshwa machi 18 uwanja wa Mkwakwani, Simba ikipigwa 2-0.
Pia Emmanuel Okwi anashuka dimbani baada ya kukosa mechi iliyopita kutokana na kuwa na kadi tatu za njano.
Simba na Mgambo zimekutana mara tano kila timu ikishinda mara mbili, sare moja na kufungwa mbili.
Katika mechi hizo tano, Simba imefunga magoli 7 na kufungwa matatu (3), wakati Mgambo imefunga magoli 3 na kufungwa 7.
Kila timu imevuna pointi 7 katika mechi hizo tano, lakini historia inaonesha Mgambo hawajawahi kushinda mechi yoyote tangu wapande ligi kuu msimu wa 2012/2013.
Kwa upande Mwingine, Simba haijawahi kushinda uwanja wa Mkwakwani Tanga dhidi ya Mgambo JKT.
MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA SIMBA v MGAMBO JKT
2012/2013
2012-10-21 14:00
|
league
|
JKT Mgambo 0 - 0 Simba SC
|
Wed
|
08/05/13
|
2013/2014
2013-09-18 14:00
|
league
|
Simba SC 6 - 0 JKT Mgambo
|
2014-02-09 14:00
|
league
|
JKT Mgambo 1 - 0 Simba SC
|
2014/2015
Wed
|
18/03/15
|
Rnk
|
Team
|
MP
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
+/-
|
Pnts
|
1 |
SIMBA
|
5
|
2
|
1
|
2
|
7
|
3
|
4
|
7
|
2 |
MGAMBO
|
5
|
2
|
1
|
2
|
3
|
7
|
-4
|
7
|
0 comments:
Post a Comment