Thursday, April 9, 2015

Vifaa hivi vya kufanyia mazoezi vimepangiliwa kwenye mfumo ambao unamsaidia mchezaji ku-develop Neuromuscular system ambayo inasaidia kuboresha uwezo wa mchezaji ku-move vizuri akiwa uwanjani kwenye pande tofauti(Mfano kama Messi) na bila kupoteza balance. Vifaa hivi mchezaji akivutumia vizuri kwenye training anaongeza uwezo wa kubadili direction haraka akiwa kwenye speed, mwenye nguvu pamoja na kuongeza speed akiwa na mpira.
Wataalam wa hivi vifaa wanasema mchezaji atakua na uwezo wa kusambaza nguvu vizuri kwenye mwili pamoja na kupunguza uwezekoano wa kupata injury.Kwneye training mpangilio wa vifaa hivi unamfanya mchezaji aruke,achanganye miguu(shuffle),twist and turn na baadae kupiga mpira kuelekea golini.
Michael Amoah mwanasanyansi wa michezo anasema vifaa hivi havitakufanya kuwa Messi lakini vitakufanya kuwa mkali na mchezaji wa uhakika kwenye timu. Mchezaji kama Messi mwenye uwezo wa ku-turn na kucheza atakavyo na mpira wakati yupo kwenye speed, ndio aina ya mchezaji ambae vifaa hivi vitasaidia kum-develop.
Unataka kujua zaidi au kununua hiki kifaa… www.lucozadesport.com/kitoutproject

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video