Saturday, April 11, 2015


Na George Mganga
Kilabu ya Manchester City wapo katika maandalizi ya kutaka kumsainisha mchezaji kutoka katika kilabu ya Juventus Paul Pogba, mabingwa hao watetezi wa ligi kuu England bado hawajawa na makubaliano mwafaka na Juventus na ofa bado haijawekwa mezani (Daily Star).
Nayo timu ya Manchester United haijawa nyuma kumuwania mchezaji huyo Paul Pogba na hadi kufikia hivi sasa tayari wameshaomba kukaa kikao maalum na Juventus ili waweze kuzungumza na tayari wameshaandaa ofa ya paund mil 54 ( Daily Express).
Licha ya kutaka kumchukua Paul Pogba Manchester united wapo katika nkakati wa  kumsajili mchezaji mwingine kutoka kilabu ya Borrussia Dortmund Illkay Gundogan kwa kitita cha paund mil 15 japo bado hawajafikia makubaliano (Daily Mail).
Mkurugenzi wa kilabu ya PSV Eindhoven amesema kuwa kuna uwezekano wa mchezaji wake Depay kuondoka kilabuni hapo ambapo timu ya Man Utd wameandaa ofa ya kiticha cha paund mil 25 kumchukua. (Metro)
Martin Skirtel anayekipiga katika kilabu ya Liverpool bado hadi sada hajajua kama kutakuwa na mazungumzo ya kuongeza mkataba mwingine, ni mchezaji anayeweka idadi ya mchezaji wa tatu hadi sasa baada ya Sterling na Henderson kuwa katika tetesi za kuuzwa (The Times).
Naye Jonas Gutierrez yupo karibu kuongeza mkataba mwingine na kilabu yake ya Newcastle United kutokana na mkataba aliosaini awali kuelekea kukamilika. (Metro)

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video