Sunday, April 19, 2015


Simba waligona kuingia vyumbani jana, ni muendelezo wa tabia yao kwani hata kule Tanga walipocheza dhidi ya Mgambo  na Shinyanga dhidi ya Kagera Sugar hawakuingia vyumbani

SIMBA SC imekufa kwa magoli 2-0 dhidi ya wenyeji Mbeya City fc katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara iliyochezwa jana uwanja wa Sokoine.
Kocha msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema haya baada ya matokeo hayo;
"Kiukweli tulikuwa na tatizo kwenye kiungo, viungo hawakuchangamka, lakini vilevile kwa upande wa ushambuliaji kulikuwa na tatizo, tulipata nafasi zile za kwanza kabisa tukakosa, wenzetu walipata nafasi wakaweza kuzitumia. Kipindi cha pili nafasi zilikuwa ngumu kupatikana"
"Kuumia kwa Hassan mapema dakika ya 18 (Isihaka) kuliharibu mipango yetu na tuliweza kumaliza sabu mapema sana, hata tulipomuungiza Owino (Joseph) hakuweza kucheza vizuri na Juuko (Mursheed), hata ukiangalia goli la pili lilitokea kwa makosa ya ulinzi, lakini ninachoweza kusema ni matatizo ya kimpira, tutarekebisha kwa ajili ya mechi zijazo".
Wikiendi ya juma lijalo, apri 25 mwaka huu ratiba inaonesha Simba watakabiliana na Ndanda fc uwanja wa Taifa Dar es salaam.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video