Tuesday, April 21, 2015


MASHABIKI wenye bahati katika mji wa Ufaransa wa Saint-Etienne jana usiku walimuona Mbrazil Ronaldo na  Zinedine Zidane  wakicheza kwenye mechi ya 12 ya hisani ya mwisho wa mwaka kupinga umasikini.

Magwiji hao wa soka Ronaldo na Zidane waliungana na wenyeji wao, wachezaji wakubwa  wa zamani wakiwemo Clarence Seedorf, Fabian Barthez, Jay-Jay Okocha na Gianluca Zambrotta.
Ronaldo amekuwa akisemekana kuwa na mpango wa kustaafu soka katika klabu yake ya Amerika ya  Fort Lauderdale na nyota huyo mwenye miaka 38 jana alionesha kwamba bado ana vitu vitamu baada ya kufunga magoli matatu "hat trick'.
Former French international Zinedine Zidane shows he's still got it as he vies for the ball with Torpe Svarme
Nyota wa zamani wa Ufaransa,  Zinedine Zidane  alionesha kwamba bado yumo na hapa alikuwa anachuana na  Torpe Svarme
Brazilian legend Ronaldo takes a touch as he looks to set up an attack in the Match Against Poverty
Gwiji wa Brazil Ronaldo akigusa mpira kiufundi kutengeneza mashambulizi 
Two of football's biggest legends meet as Ronaldo and Zidane share a high five at Geoffroy Guichard Stadium
Magwiji wakubwa wawili wa soka Ronaldo na Zidane wakipeana tano kwenye uwanja wa Geoffroy Guichard
Former Nigerian international Jay-Jay Okocha curls an effort into the net during the Match Against Poverty
Nyota wa kimataifa wa zamani wa Nigeria Jay-Jay Okocha akionesha vitu vyake

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video