Henderson (kushoto) anatarajiwa kusaini mkataba mpya
JORDAN Henderson ameiondolea Liverpool maumivu ya kichwa baada ya kutupwa nje ya FA kwa kukubali kusaini mkataba mpya wa muda mrefu Anfield.
Nahodha huyo msaidizi wa Liverpool amebakiwa na miezi 14 katika mkataba wake na washauri wake wamekuwa katika mazungumzo na Liverpool tangu mwanzo mwa msimu huu.

Sasa wamefikia makubaliana na Henderson anatarajia kumwaga wino katika mkataba ulioboreshwa zaidi na atakuwa analipwa mshahara wa paundi lakini moja.
Mkataba wake utamalizika mwaka 2020.
0 comments:
Post a Comment