FT: YANGA SC 3-1 MBEYA CITY FC
Dakika za nyongeza City na Yanga zilishambuliana kwa zamu
Dakika 90' zimeshatimia na mwamuzi anaongeza dakika 3'
Dakika ya 88' Haruna Niyonzima amepiga shuti linaloenda juu kwa mpira wa adhabu ndogo
Dakika ya 83' Msuva anapiga kichwa kinachotoka nje ya lango akijaribu kumalizia mpira uliopigwa na Juma Abdul kutoka winga ya kulia
Dakika ya 81' Mbeya City wanapata kona, lakini haizai matunda.
Dakika ya 77' Mwegane Yeya ameingia kuchukua nafasi ya Paul Nonga
Dakika ya 75' Yanga wanafanya shambulizi lakini Mbeya City wanaokoa
Dakika ya 72' Yanga wanafanya shambulizi, lakini kipa Hanington anadaka shuti liliopigwa langoni kwake
Dakika ya 70' Yanga wanafanya mabadiliko, Sherman anakwenda benchi na nafasi yake inachukuliwa na Mrisho Ngassa
Dakika ya 69' Tambwe alipiga kichwa akimalizia krosi ya Saimon Msuva, lakini mpira unagonga mwamba
Dakika ya 68' Stembuli anamfanyia madhambi Tambwe na mwamuzi anatoa mpira wa adhabu inayochongwa na Niyonzima.
Dakika ya 64' Mbuyu Twite anaoneshwa kadi ya njano kwa kumchezea vibaya Yusuph Abdallah
Dakika ya 61' Salum Telela alishindwa kuendelea na mchezo kutokana na madhambi aliyofanyiwa na Themi na nafasi yake ikachukuliwa na Hassan Dilunga
Dakika ya 59' Mbeya City wamefanya mabadiliko, Deus Kaseke anakwenda benchi nafasi yake inachukuliwa na Peter Mapunda, Raphael Alfa naye anakwenda benchi nafasi yake inachukuliwa na Yusuph Abdallah
Dakika ya 53' Mbeya City wanapata pigo kufuatia Them Felix kuoneshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na Mwamuzi Akrama baada ya kumchezea vibaya Salum Telela.
Dakika ya 52' Niyonzima anapiga mpira wa adhabu baada ya Msuva kufanyiwa madhambi winga ya kulia, lakini kipa Hanington anaokoa
Dakika ya 49' Nadir Haroub anaifungia Yanga goli la tatu kwa kichwa akimalizia mpira wa adhabu uliopigwa na Niyonzima
Dakika ya 47' Peter Mwalyanzi anamfanyia madhambi Juma Abdul na mwamuzi Mathew Akrama anatoa mpira wa adhabu.
Kipindi cha pili kimeanza hapa uwanja wa Taifa
...................................Yanga wamepiga mashuti 6 yaliyolenga lango wakati City wamepiga mawili
Hali ya umiliki mpira kwa dakika 45' za kipindi cha kwanza ni asilimia 55 kwa Yanga na 45 kwa Mbeya City
HT: YANGA SC 2-1 MBEYA CITY
Dakika ya 45' Yanga wanafanya shambulizi kali lakini Mbeya City wanaokoa
Dakika ya 45' Mbeya City wanatengeneza nafasi ya kufunga, Themi anaingiza krosi lakini hakuna mtu
Dakika ya 43' Yanga wanafanya shambulizi lingine la hatari lakini kipa wa Mbeya City anaokoa na mabeki kuosha mpira
Dakika ya 42' Sherman alimpigia pasi Tambwe eneo la 18 akabaki yeye na kipa Hanington, lakini Mrundi huyo akashindwa kutumbukiza mpira langoni na shuti lake kutoka nje kidogo ya lango upande wa kulia.
Dakika ya 39' Themi Felix anaifungia goli lwa kwanza Mbeya City akipokea pasi ya Kenny Ally na kutulia kisha kuburuza mpira eneo la hatari na kumtazama kipa Ally Mustapha na kufunga goli zuri kwa kuchopu
Dakika ya 37' Yanga wanaandika bao la pili kupitia kwa Salum Telela aliyepiga shuti la chini chini akipokea mpira wa adhabu wa Niyonzima na mpira kuwapita mabeki wa Mbeya City na kutinga nyavuni
Dakika ya 36' Christian Sembuli anamfanyia madhambi Sherman nje kidgo ya eneo la 18 na inakuwa mpira wa adhabu unaopigwa na Niyonzima.
Dakika ya 35' Mbeya City wanafanya shambulizi lakini shuti linapaa juu ya lango.
Dakika ya 33' Mbeya City wanafanya shambulizi, lakini madhambi yanatokea na mpira unapigwa kwenda City
Dakika ya 32' Yanga wanafanya shambulizi lakini kipa Hanington anadaka
Dakika ya 30' Juma Abdul anafanyiwa madhambi na Peter Mwalyanzi
Dakika ya 29' Yanga wanapanga shambulizi lakini Mbeya City wanaokoa
Dakika ya 28' Mbeya City wanatengeneza shambulizi lakini Paul Nonga anashinda kupiga pasi nzuri na kuokolewa na mabeki wa Yanga
Dakika ya 18' Kpah Sherman anaifungia goli la kuongoza Yanga akimalizia krosi ya Oscar Joshua na kumzidi ujanja beki Juma Nyosso.
Dakika ya 16' Mbeya City wanafanya shambulizi zuri lakini mabeki wa Yanga wanaokoa
Dakika ya 12' Cannavaro anaoneshwa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Paul Nonga
Dakika ya 9' Tambwe anagongana na kipa Hanington katika harakati za kumalizia krosi ya Msuva kutoka winga ya kulia
Dakika ya 7' Mbeya City wanapata kona ambayo haizai matunda
Dakika ya 6' Tambwe anafunga goli kwa kichwa lakini muamuzi amepuliza kipyenga kuashiria ameotea
Dakika ya 3' Yanga wanafanya shambulizi lakini Cannavaro ameotea
Dakika ya 2' Mpira wa adhabu ndogo unapigwa kwenda lango la Mbeya City, haijazaa matunda
Yanga Dakika 45' za kipindi cha kwanza zimeanza
Manahodha wa timu zote Cannavaro wa Yanga na Nyoso wa Mbeya City wanachagua malango ya kuanza
Wachezaji wa timu zote wameshaingia uwanjani kukaguliwa
YANGA SC 3 v 1 MBEYA CITY
KIKOSI CHA YANGA
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY.
1.Ally Mustafa Mtinge "Barthez"
2.Juma Abdul Mnyamani.
3.Oscar Fanuel Joshua.
4.Nadir Haroub "Cannavaro" (C)
5.Kelvin Patrick Yondani "Cotton"
6.Mbuyu Twite.
7.Simon Happygod Msuva.
8.Salum Abo Telela "Abo Master"
9.Amiss Jocelyn Tambwe.
10.Kpah Sean Sherman.
11.Haruna Niyonzima "Iniesta"
2.Juma Abdul Mnyamani.
3.Oscar Fanuel Joshua.
4.Nadir Haroub "Cannavaro" (C)
5.Kelvin Patrick Yondani "Cotton"
6.Mbuyu Twite.
7.Simon Happygod Msuva.
8.Salum Abo Telela "Abo Master"
9.Amiss Jocelyn Tambwe.
10.Kpah Sean Sherman.
11.Haruna Niyonzima "Iniesta"
AKIBA.
Deogratius Munishi "Dida"
Rajab Zahir
Nizar Halfan
Hassan Saleh Dilunga.
Hissein Javu.
Mrisho Halfan Ngassa.
Deogratius Munishi "Dida"
Rajab Zahir
Nizar Halfan
Hassan Saleh Dilunga.
Hissein Javu.
Mrisho Halfan Ngassa.
Kocha mkuu
Hans van Pluijm
Hans van Pluijm
Kocha msaidizi.
Charles Boniface Mkwasa "Master"
Charles Boniface Mkwasa "Master"
Meneja.
Hafidh Saleh.
Hafidh Saleh.
Daktari wa timu
Juma Sufiani.
Juma Sufiani.
KIKOSI CHA MBEYA CITY FC KINACHOANZA LEO
1. Hanington Kalesubula
2. Richard Peter
3. Hassan Mwasapili
4.Juma Nyosso
5. Christian Sembuli
6.Kenny Ally
7. Paul Nonga
8. Raphael Alfa
9.Them Felix
10. Peter Mwalyanzi
11. Deus Kaseke
WACHEZAJI WA AKIBA
GK Lambon Ashery
2. Erick Mawala
3. Hamad Kibopile
4. Yohana Morris
5. Mwegane Yeya
6. Yusuph Abdallah
7. Peter Mapunda
VIONGOZI WA TIMU
'1. Juma Mwambus- Kocha Mkuu
2. Mohamed Kijuso -Kocha msaidizi
3. Joshua Kaseko- Daktari wa Timu
4. Rashid Kasiga-Meneja wa timu.


0 comments:
Post a Comment