Wednesday, April 15, 2015


NAHODHA wa Simba SC, Hassan Suleiman Isihaka ni mpenzi wa muziki wa kisasa wa Bongo Fleva na ameweka wazi msanii anayempenda.
"Napenda sana Bongo Fleva, msanii wangu mimi ni Ali Kiba. Nampenda kwasababu ya uwezo wake wa kuimba, ana sauti kali, hana mambo mengi". Amesema Isihaka.
"Ujue mimi sipendi mambo mengi, angalia kwa mfano mambo ya 'Skendo', Ali Kiba hana. Hata kama anafanya ni mambo yake ni ya  chinichini sana. Yule ni mwanangu, tumeishi wote Kariakoo".
Kuhusu mkali wa Bong Fleva kwa sasa, Nasib Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz 'Chibu Dangote', Isihaka amesema anamkubali sana msanii huyo na anapenda kusikiliza nyimbo zake, lakini anamkera kwa 'skendo' zake.
"Diamond ni msanii mzuri, anaimba fresh, lakini kwa Skendo ananikera" Amesema Isihaka.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video