Wednesday, April 1, 2015


Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic amesisitiza hata kama iko ugenini, Simba italazimisha kushinda dhidi ya Kagera Sugar katika mechi ya ligi kuu Tanzania bara itayopigwa uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga.


Kocha huyo Mserbia amesema mechi hiyo ya wikiendi (aprili 4) itakuwa ngumu kwao kutokana na ubora wa wakata miwa wa Kaitaba, lakini suala la ushindi ni muhimu.



“Tunajua Kagera ni timu nzuri, lakini katika ligi hii kumbuka hakuna timu dhaifu", Amesema Kopunovic na kuongeza. "Ila kuna timu kongwe na timu imara zaidi. Sisi tunachoangalia ni kufanya vizuri na kushinda.

“Tutaanza safari ya kwenda Kagera tukiwa na lengo moja tu, kushinda mechi na kurudi na pointi tatu,” alisisitiza MSerbia huyo.


Simba imekuwa ikiendelea kujifua kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video