Wednesday, April 29, 2015

Michuano mikongwe duniani inayofahamika kwa jina la FA Cup inatarajiwa kubalishwa jina na kuitwa Emirates FA Cup mara baada ya shirika la ndege la Emirates kuingia mkataba wa udhamini na michuano hiyo.
Michuano hiyo imekosa mdhamini kwa takribani mwaka mmoja kufuatia kushindwa kufanya makubaliano ya mkataba mpya na wadhamini wa awali Budweiser.
Mkataba huo wa miaka mitatu wa shirika hilo la ndege utakuwa na thamani ya paundi milioni 30 ambapo ni sawa na paundi milioni 10 kwa mwaka.
Mtendaji mkuu wa kitengo cha Biashara wa FA Stuart Stuner amesema hili ni dili zuri kufananisha mkataba wa wadhamini wa awali ambao ulikuwa na thamani paundi milioni 9 kwa mwaka.
Wajumbe wa kitengo cha biashara cha wa FA wanataraji kwenda Dubai mapema wiki hii tayari kwa kukamilisha dili hilo.
Fainali ya kombe la FA msimu huu kati ya Arsenal na Astonvilla inatarajiwa kupigwa tarehe 30 mwezi ujao katika uwanja wa Wembley.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video