Wednesday, April 15, 2015

Aliyekuwa kipa namba moja wa timu ya soka ya Toto African ya Mwanza, Erick Ngwengwe ametangaza kuachana na timu hiyo iliyopanda ligi kuu Tanzania bara msimu ujao.

Kipa huyo anayechukua shahada ya pili ya elimu kwenye chuo kikuu cha mtakatifu Agustino cha jijini hapa,amesema ameamua kuachana na timu hiyo kutokana na mkataba wake uliokuwa ni kuipandisha daraja timu hiyo na baada ya kufanya hivyo sasa rasmi ameachana na timu hiyo.

Ngwengwe amesema kwa sasa amerejea kwenye timu yake ya mtaani ya Black Star inayoshiriki ligi daraja la nne na pia amesema kama viongozi wa timu ya Toto watakubali matakwa yake   atasaini tena kwenye timu hiyo ya mitaa ya kishamapanda katikati ya jiji la Mwanza

Lakini taarifa za chini ya kapeti ni kwamba mlinda mlango huyo tayari ameanguka kandarasi kwenye timu ya Mwadui fc ya Shinyanga inayonolewa na Jamhuri kihwelo 'Julio'.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video