Imethibitishwa rasmi kuwa kocha wa Borussia Dortmund Juergen ataachana na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.
Taarifa za kushtua kabisa kuhusu kuondoka kwa kocha huyo mwenye kaliba ya aina yake zimefichuliwa na gazeti la BILD la nchini Ujerumani mapema kabisa leo hii kabla ya klabu hiyo kuthibitisha rasmi taarifa hizo baada ya kutoa taariifa hizo kwenye mkutano na wanahabari.
Na sasa Dortmund wamethibitisha rasmi kuwa Klopp, ambaye alishinda mataji mawili ya ligi kuu nchini humo akiwa na klabu hiyo, ataondoka rasmi mara baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa takribani misimu saba.
Manchester City ndiyo klabu inayopewa kipaumbele cha kumnasa kocha huyo, ukizingatia ya kwamba Klopp mwenyewe ameonesha nia thabiti ya kutaka kufundisha soka nchini Uingereza.

0 comments:
Post a Comment