Thursday, April 30, 2015

HARUNA Niyonzima ameachwa kwenye kikosi cha Yanga kilichoenda Tunisia kwasababu ya kadi tatu za njano.
Msafara wa Yanga umepaa kwenda Tunisia saa 5 usiku wa kuamkia leo kuwakabili Etoile du sahel siku ya jumamosi saa 3 usiku.
Kikosi kilichoenda.

Makipa;
Ally Mustafa ‘Barthez’ na Deo Munishi ‘Dida’
Mabeki
Pato Ngonyani, Oscar Joshua, Edward Charles, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, ’Juma Abdul, Rajab Zahir, Mbuyu Twite na Kevin Yondan.
Viungo
Nizar Khalfan, Andrey Coutinho, Salum Telela na Said Juma ‘Makapu’
Washambuliaji
Hussein Javu, Amissi Tambwe, Kpah Sherman, Mrisho Ngasa, Jerry Tegete na Simon Msuva.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video