Hizi ni picha za baadhi ya matukio muhimu yaliyotokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wachezaji wa Yanga wakisubiri kuondoka.
Amissi Tambwe (kushoto) na Mbuyu Twite wakibadilishana mawazo wakati wakisubiri muda wa kuondoka
Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm (kushoto) akijadili jambo na msaidizi wake Charles Boniface Mkwasa ‘Master’
Mlinzi na nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akipokea maneno mawili, matatu kutoka kwa wapenzi wa timu hiyo kabla hawajaondoka
0 comments:
Post a Comment