Thursday, April 9, 2015


Tarehe 1 mwezi 5 mwaka 2015 msanii Nasibu Abdul maarufu kama Diamond anatarajia kufanya show pale Mlimani city. Kupitia ukurasa wa instagram wa kampuni yake ya Wasafi Baby wameweka wazi ujio wa msanii maarufu wa Hip Hop kutoka South Africa anaitwa AKA.ssss
Ukitaja majina ya wasanii wakubwa wa HipHop kutoka bondeni basi AKA lazima aingie kwenye top three ambapo hivi sasa anafanya vizuri na nyimbo zake Run Jozi na Congratulate.
Hii ni video ya Congratulate ambayo imefanya vizuri Africa nzima.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video