Bolasie ndiye shujaa wa leo
YANNICK Bolasie amepiga 'Hat-trick' Sunderland ikipigwa 4-1 na Crystal Palace nyumbani.
Bolasie alifunga magoli hayo katika dakika ya 51', 52' na 62. Bao lingine lilifungwa na Murry. dakika 48'.
Bao la kufutia machozi la Sunderland lilifungwa na Wickham katika dakika 90'.

Wachezaji wa Crystal Palace wakimzunguka Glenn Murray baada ya kufunga goli la kuongoza katika uwanja wa Stadium of Light leo jioni.

Beki wa Sunderland aliishia kumuona tu Bolasie akifunga goli

Bolasie akishangilia goli lake akiwa amefunga 'Hat-trick' katika dakika 10 kwa mara ya pili uwanja wa Stadium of Light on Saturday


0 comments:
Post a Comment