Saturday, April 11, 2015

Kocha mkuu wa Simba, Goran Kopunovic anaendelea kusuka vijana wapya.

WEKUNDU wa Msimbazi wameitandika 3-0 Toto African katika mechi ya kirafiki iliyopigwa jioni ya leo uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Mabao ya Simba yamefungwa na vijana wa Simba B wanaoandaliwa na kocha mkuu, Goran Kopunovic kuingia timu A ambao ni Said Issa,  Issa Abdallah na Dickson Amondu.
Katika mechi ya leo, Kuponovic alitumia vijana wapya kabisa na walioanza pekee ni nahodha wa mechi Masoud Nassor 'Cholo, Elias Maguli na Issa Rashid 'Baba Ubaya'.
Simba inajiandaa na mechi ya aprili 18 mwaka huu uwanja wa CCM Sokoine Mbeya ambapo itachuana na wenyeji Mbeya City fc.
Mechi ya kwanza uwanja wa Taifa iliyopigwa uwanja wa Taifa, Mbeya City walishinda 2-1.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video