CHELSEA imeshinda mabao 2-1 dhidi ya Stoke City katika mechi ya ligi kuu iliyomalizika usiku huu uwanja wa Stamford Bridge, mjini London.
Eden Hazard aliifungia Chelsea bao la kuongoza katika dakika ya 29' kwa mkwaju wa penalti.
Loic Remy aliandika bao la pili katika dakika ya 62'.
Bao la kufutia machozi la Stoke limefungwa na Charlie Adam katika dakika ya 44'.

MATOKEO YA MECHI ZOTE HAYA HAPA
April 4
FT
FT
FT
FT
FT
FT
FT


0 comments:
Post a Comment