Wayne Rooney (katikati) alifunga goli tamu Manchester United ikiitandika Aston Villa 3-1 katika mechi ya ligi kuu iliyopigwa leo Old Trafford
Rooney akiifungia United bao la pili kwa shuti la mguu wa kulia na kuifanya timu yake iongoze 2-0 katika dakika ya 79
Rooney akishangilia baada ya kufunga goli la sita katika mechi nane alizoichezea tangu aliporudishwa nafasi ya nyuma zaidi
Rooney (katikati kulia) baada ya kufunga goli tamu
NAFASI YA UNITED BAADA YA USHINDI HUO



0 comments:
Post a Comment