Klabu ya chelsea the blues ipo tayari kutoa dau la Uro 27 milioni kwa ajili ya kumchukua nyota wa shakhtar donesky, Douglas Costa ambaye ilimkosa katika dirisha la Januari.
Kocha Jose Mourinho anataka kumuunganisha Costa na Kiungo mwingine wa Brazil, Willian ambao walicheza wote na kutamba katika kikosi cha Shakhtar misimu miwili iliyopita.
Kiungo huyo mkabaji alianzia soka la kulipwa 2008 akiwa na kikosi cha Gremio kabla ya kuhamia Shakhtar Donetsk 2010




0 comments:
Post a Comment