Friday, April 3, 2015

 Kutoka kulia Deo Munish 'Dida', Simon Msuva, Mrisho Ngassa, Mbuyu Twite na Juma Abdul wakiwa tayari kukwea pipa asubuhi ya leo kuelekea nchini Zimbabwe.

YANGA inashuka dimbani kesho majira ya saa 9:00 alasiri kwa saa za Zimbabwe na saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania kuikabili FC Platinum ya Zimbabwe katika mechi ya marudiano ya raundi ya kwanza ya kombe la Shirikisho.
Mechi ya kwanza iliyopigwa uwanja wa Taifa, Februari 15 mwaka huu, Yanga ilishinda 5-1, hivyo inahitaji sare yoyote ile, ushindi au kutofungwa zaidi ya 3-0.
Kama watafungwa 4-0 watatupwa nje ya michuano kwa faida la ugenini walilofungwa Dar es salaam kwasababu wastani utakuwa 5-5.

 Mrisho Ngassa (kushoto) yuko tayari kuwaangamiza Wazimbabwe


Viongozi wa Yanga na mashabiki wakiwa katika picha

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video